Test ya kifaransa imeahirishwa mpaka wiki ijayo kati ya Alhamisi ,Ijumaa au Jumamosi. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Rais wa AMUCTASO kama ilivyotolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje kwa niaba ya Rais na serikali ya AMUCTASO kwa ujumla.UKIISOMA MWAMBIE NA MWENZIO.