Hiki ndicho chumba moto ulipoanzia
Bweni hilo la wasichana maarufu kwa
jina la Shaaban Roberth limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu kwa
kuanza kuungua moja ya chumba kilichopo flow ya juu katika bweni hilo,
ikiwa dalili za awali zinaonesha chazo ni shoti ya umeme kwenye switch
ya ukutani (Wall Switch Socket).
Juhudi za kuokoa zilifanikiwa mapema
na kuzuia moto huo kuendelea kuteketeza bweni hilo, zana za fire
extinguisher zilitumika na hatimaye kuokoa athari ambazo zingetokea.
Hata hivyo kikosi cha zimamoto hakikuchelewa kufika eneo la tukio.
Pia mmoja kati ya wanachumba hicho alizimia baada ya tukio hilo kutokea.
HABARI: KWA MSAADA WA ALOYSON.BLOGSPOT.COM
0 comments:
Post a Comment