Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi mwenyeji wake
Sultani wa Oman Qaboos bin Said Al Said katika kasri ya AL Alam jijini
Muscat Oman jana jioni muda mfupi kabla ya dhifa ya kitaifa
aliyoandaliwa kwa heshima yake.
Sultan Qaboos bin Said Al Said akimpongeza Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kumtunuku nishani ya juu ya heshima
ya Taifa la Oman jana jioni katika kasri ya AL Alam, Jijini Muscat Oman
jana jioni .Rais Kikwete aliwasili nchini Oman jana jioni kwa ziara
rasmi ya siku tatu.
Picha na Freddy Maro.HABARI KWA MSAADA WA aloyson.blogspot.com
Picha na Freddy Maro.HABARI KWA MSAADA WA aloyson.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment