
Mbunge
wa zamani wa Jimbo la Ilemela jijini Mwanza Anthony Diallo(mwenye mashada-maua) ndiye
aliyeibuka mshindi kwa kura 611 katika wa nafasi ya uenyekiti wa CCM mkoa
wa Mwanza, amemshinda aliekua mwenyekiti wa chama hicho Clement Gregory
Mabina aliepata kura 328 (Picha kutoka kwa gsengo.blogspot.com habari na MillardAyo in News 17th 0ct,2012 )
0 comments:
Post a Comment