Nawatakia mazoezi mema ya mafunzo kwa vitendo huko mwendako ila tujichunge tabia kila mtu awe mlinzi wa mwenzake usikubali mtu hata mmoja akushushie heshima udharaulike/mdharauliwe kisa anatafuta umaarufu. Usikubali kuipoteza nafasi adimu ya masomo uliyoipata pengine kwa kusubiri miaka kadha au kwa matokeo ya kubangaiza.
Jiepusheni na vile vinavyoitwa teaching practice allowance mwalimu ni kioo cha jamii, jiheshimu utaheshimiwa ukijidharau utadharauliwa MWENYEZI MUNGU awe nanyi nyote muwapo mazoezini.
Jiepusheni na vile vinavyoitwa teaching practice allowance mwalimu ni kioo cha jamii, jiheshimu utaheshimiwa ukijidharau utadharauliwa MWENYEZI MUNGU awe nanyi nyote muwapo mazoezini.