Hongereni wanafunzi wote wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Askofu Mkuu Mihayo-Tabora (AMUCTA) kwa kumaliza vyema mitihani ya mwisho ya semista ya pili kwa wanachuo wa mwaka wa kwanza na wa Pili. Tumuombe Mwenyezi Mungu atuwezeshe kuanza vyema mwaka mpya wa masomo kwa mwaka wa 2012/13 na kuumaliza salama salmini.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
4 months ago
0 comments:
Post a Comment